Muigizaji huyo ambaye ni mwenyekiti wa Bongo Movie Unity ameiambia Bongo5 kuwa tayari amejipanga kuwania kiti hicho kwa tiketi ya CCM.
“Ukiona chereko chereko ujue mambo yameiva, yeah nitagombea ubunge mwakani. Nimejipanga na ninaweza kufanya hivyo, nipo vizuri sana.” Amesema.
Source: Bongo5
No comments:
Post a Comment