The Choice

28 August 2014

NI BAADA YA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA BABA YAKE ATESEKA KITANDANI

Johanitha Robert Mulokozi  amekaa kitandani kwa miaka mitatu kutokana na kuugua ugonjwa wa kupooza mwili mzima.

INASIKITISHA! Johanitha Robert Mulokozi (31) amekuwa kitandani kwa miaka mitatu kutokana na kuugua ugonjwa wa kupooza mwili mzima.Mama huyo mwenye mtoto mmoja amekuwa akisumbuka na ugonjwa huo uliomfanya akose raha licha ya kupata matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Akizungumza na waandishi wetu nyumbani kwake Nyan’gandu, Kivule, Ilala jijini Dar es Salaam, mama wa mgonjwa huyo, Valentina Emmanuel (51) alisema kwa miaka mitatu anashindwa kupata usingizi kutokana na kumuuguza mwanaye huyo na kukosa uwezo wa kumsafirisha kwenda India kwa matibabu.
Akisimulia huku akilengwalengwa machozi Valentina alisema: “ Tatizo la mwanangu la kupooza mwili mzima lilianzia pale alipodondoka chini baada ya kupata taarifa za kifo cha baba yake mwaka 2011.
“Sikutegemea kama mwanangu angekuwa hivi kwani alikuwa akiishi vizuri na alikuwa akiendelea na maisha yake hasa baada ya kupata mtoto ambaye anamtegemea.SOMA ZAIDI>>
Posted by Jason at 09:19
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

  • ---->ZAWADI NONO YA TSH. 30,000 TABIRI NANI ATAIBUKA MSHINDI LEO KATI YA..... (ARSENAL V/S LEICESTER CITY )
  • BALAA TUPU KANGA MOKO TOKA BUKOBA, BURUDANI YA NAMNA HII YAPASWA KUKOMESHWA
  • DIAMOND ANUNUA GARI JIPYA LA TSH MIL. 60
  • MSHINDI WA BSS 2007 JUMANNE IDDY APATA AJALI MBAYA BAGAMOYO MKOANI PWANI..ANUSURIKA KIFO YEYE NA RAFIKI ZAKE WAWILI USIKU WA KUAMKIA LEO, CHEKI HAPA
  • BRAZIL MABINGWA KOMBE LA MABARA, WAITANDIKA SPAIN 3-0
  • MAONI YA WADAU MBALIMBALI KUHUSU SHINDANO LA MISS TANZANIA 2013
  • PICHA ZINATISHA,AJALI ILIYOTOKEA USIKU WAKUAMKIA LEO HUKO NZEGA WATU 6 WAPOTEZA MAISHA
  • CCM HUENDA IKAMVUA UANACHAMA WAZIRI WA ZAMANI WA ARDHI MAMA TIBAIJUKA
  • Boti ya Mv Yarabi Tunusuru imezama na watu 9 wamefariki dunia. -ANGALIA VIDEO
  • TUNDA MAN: SIFIKIRII KUTOKA KIMAPENZI NA WEMA SEPETU

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.