Tamasha
la Serengeti fiesta 2014 kwa ambalo lifanyika siku ya kesho ijumaa
ndani ya Uwanja wa kaitaba ,Camera yetu imeweza kuwashuhudia mastaa
kadhaa wakiwasili mjini hapa
Dj Fetty,Stamina,Mr.
Blue,Recho,Linah,Super Nyota, Khadija wa Maumivu pia yupo 'Omwana wo
Muka' BK sunday sambamba 'nomumbeija kazi Saida Karoli na wengineo.
Kushoto ni msanii kutoka kundi la Wakacha anaejulikana kama Jux katika picha na Stamina
Yupo Msanii Mr Blue 'Kabaisa, Babyloom'
Msanii Barnaba Elias
Msanii Jux
Kushoto ni Msanii Christian Bella
Msanii Ney wa Mitego
Ruge Mutahaba mmoja ya Wakurugenzi wa Clouds Media Groupa pichani kulia akiteta jambo na Meneja uendeshaji wa kampuni ya utalii ya Kiroyera,Ndugu William Rutta
Ndivyo linavyo onekana jukwaa lanFiesta 2014 kwa mara ya kwanza bukoba likiwa linaendelea kugfungwa hatua kwa hatua uwanjani Kaitaba
Kumbuka,
shangwe hili lote utaweza kulifaidi kwa kiingilio cha shilingi 5000 tu
itakayokupa nafasi wewe mkazi wa Bukoba kupenya ndani ya Kaitaba Stadium
Msanii BK Sunday pichani kushoto.
SERENGETI FIESTA 2014 SAMBAZA UPENDO.............NI SHEEEEEDAH!!
No comments:
Post a Comment