HATARI SANA: TAZAMA PICHA 8 ZA P-SQUARE WALIZOTUPIA MTANDAONI NA KUWA GUMZO!!
Peter na Paul mapacha wa P Square wanakaribia kutoa album yao ya sita
na hivi sasa wametoa picha zao mpya ikiwa ni moja ya promotion kuelekea
uzinduzi wa album hiyo. Kama wewe ni shabiki wa P Square enjoy kucheki hizi picha.
No comments:
Post a Comment