Kama
mnavyojua kwasiku mbili tatu hizi kumekuwa na taarifa mbalimbali
kupitia blogu hizi za udau na hata SOSHO MEDIA kupitia AKAUNTI za
wadaku…kuwa Komando Lady Jaydee ametengana na mumewe Gadner G Abash…SINA
hakika kama ni kweli au LAA..japokuwa hakuna kati yao aliejitokeza
kupiga hili!!!Lakini jana kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM Jide aliweka
picha hii ikionyesha mkono wake na pete ya harusi yao na kuandika”Kucha
zimekosa rangi ya OriFlame tu, ili zing'ae zaidi ya hapo”Wadau wengi
ambao ni followers wake walimuelewaJide alikuwa anamaanisha nini.. kitu
ambacho kilitafsiliwa kuwa ni kuonyesha kuwa wenyewe badoni wanadoa na
hizo ni changamoto tu za ndoa kwahiyo watu wasishadadie sana …
No comments:
Post a Comment