Redd's
Miss Kinondoni 2014, Maria Shila akipunga mkono baada ya kutawazwa kuwa
malkia wa Kanda ya Kinondoni katika shindano lililoshirikisha wanyange
16 waliokuwa wakiwania tiketi ya kushiriki shindano la Miss Tanzania
2014. Shindano hilo lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia leo.
Shila
ameungana na warembo wengine Camila Cindy John aliyeshika nafasi ya pili
na Queenlatifa Hashim aliyeshika nafasi ya tatu ambao kwa pamoja
wamepata tiketi ya kuiwakilisha Kanda ya Kinondoni katika mashindano ya
taifa ya Miss Tanzania 2014 yanayotaraji kufanyika mapema mwezi Oktoba.
Redd's
Miss Kinondoni 2014, Maria Shila (klatikati) akipunga mkono baada ya
kutangazwa kuwa ndie mshindi wa taji hilo na kuwaongoza warembo wengine
15 waliokuwa wakiwania taji hilo. Wengine mshindi wa pili Camila Cindy
John (kulia) na mshindi wa tatu Queenlatifa Hasim. Shindano hilo
lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia leo
No comments:
Post a Comment