SHILOLE ANATAFUTA KIKI KUPITIA JINA LANGU, KWANZA SI HADHI YANGU. SIWEZI KUJIBISHANA NA MSANII WA VIGODORO
MTIFUANO mzito umeibuka kati ya mastaa wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Baby Madaha baada ya kurushiana vijembe.Awali
katika gazeti la Amani toleo la wiki iliyopita, Baby Madaha alinukuliwa
akisema kuwa Mwezi wa Ramadhani unambana kiuchumi, kwa vile kumbi
nyingi za starehe zimefungwa, hivyo anakosa shoo.
Akizungumza
na Risasi Mchanganyiko, Shilole alisema anamshangaa Madaha kwa kukosa
hofu ya Mungu, huku akimchana kuwa, haweki akiba, anaishi maisha ya
kutegemea shoo ndiyo maana anaulalamikia mwezi huu.
Madaha
alivyoelezwa kuhusu maoni ya Shilole, alikuja juu na kutema cheche:
“Shilole anatafuta kiki kupitia jina langu, kwanza si hadhi yangu.
Siwezi kujibishana na msanii anayetegemea shoo za kwenye vigodoro,
akatafute pa kutokea
No comments:
Post a Comment