Familia ya wapenda michezo Duniani
imepatwa na msiba mzito baada ya golikipa wa timu ya Taifa ya Palestina
U17 Ahmed Abu Sida aliye uwawa na mashambulizi ya Israel kwa kweli
kitendo hicho kimezidi kuionyesha Dunia kua kinachofanyika huko kwa
kweli ni kitendo cha uvunjifu wa haki na wanaouawa ni raia wasio kua na
kosa lolot
No comments:
Post a Comment