06 July 2014

MUACHE MUNGU AITWE MUNGU-HAWA NI WATU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUKUTWA NA MAKUBWA


MUACHE MUNGU AITWE MUNGU
WATU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUKUTWA NA MAKUBWA
1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)
Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale yalikuwa mepesi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuyafundisha. Hebu angalia leo, tumekuwa maarufu hata zaidi yake (Hapo alilitaja kundi lake la The Bettle). Ilikuwa mwaka 1966.
Wiki moja baada ya kutamba kwamba yeye na kundi lake lilikuwa maarufu hata zaidi ya Yesu, akapigwa risasi sita na kufariki

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname