Msanii
mkongwe wa filamu nchini, nice mohamed aka mtunisi amewapa makavu live
mastaa wenzie ,diamond pamoja na hawara yake wema sepetu aka
mama ubaya ,kwa kitendo alichokifanya staa huyo wa filamu(wema)
kufutarisha nyumbani kwake na kumkaribisha harawa yake(Diamond) pamoja
na mama mkwe wake(haijulikani mkwewe kwa nani na kwa ndoa ipi) bi sanura
kitendo ambacho mtunisi amekiona ni kinyume na dini yao hiyo ya
kiislamu.
No comments:
Post a Comment