01 July 2014

Mtangazaji Regina Mwalekwa Aikimbia Clouds FM, Apata Deal la Nguvu Redio Kubwa





Leo Asubuhi Mtangazaji wa Clouds FM Mwanadada Regina Mwalekwa Ametangaza wazi kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM kuwa anaacha kazi rasmi katika kituo hicho alichofanya kwa muda mrefu, Regina Mwalekwa aliwashukuru Watangazaji na Mabosi wa Kituo cha Clouds kwa Kumlea Vizuri katika kipindi chote alichokuwa hapo.




Regina Mwalekwa hakusita kusema sababu ya Kuacha kazi kituo hicho ambapo alisema amepata kazi katika Shirika la Utangazaji la BBC.Comment Kiistaarabu Hapo Chini Matusi na Kumchafua Mtu Hairuhusiwi

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname