Baadhi ya watuhumuiwa wa kiume waliokamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’.
HATIMAYE gazeti
namba moja kwa habari za uchunguzi Tanzania, paparazi limeyanasa majina
403 ya Watanzania waliokamatwa, kufungwa au kushikiliwa katika magereza
mbalimbali duniani kwa makosa ya madawa ya kulevya ‘unga’.Hivi
karibuni, serikali ilikiri kukamatwa kwa Wabongo hao nje ya nchi na
kusema baadhi yao wanasubiri kunyongwa baada ya kupatikana na hatia.
Hata hivyo, serikali ilificha majina ya watu hao.
Ifuatayo ni orodha ya majina hayo na maeneo wanayotoka nchini Tanzania. Kwenye mabano ni hukumu zao.
Abdallah Ally
Rashid Mbonde Fredue, Dar (miaka 15 jela), Mzia David Michael, Dar
(22), Rashid Mzonge, Magomeni, Dar (maisha), Salum Jumbe Pigigi
(maisha), Ramadhan Iddi Juma, Kinondoni, Dar (7), Saleh Happy Hambona,
Dar (18), Michael Dalasi Taraja, Temeke, Dar (19) na Juma Omar Mgeni
(kunyongwa).
Wengine
ni Masumbuko Salum Hassan, Dar (kunyongwa), Luka Joseph Urio, Dar
(maisha), Masome Frorian Anthony, Dar (maisha), Salum Mohammed Kitupura,
Dar (kunyongwa), Begge Hemed Ahmed, Tanga (15) na Mwanjati James Simon,
Dar (maisha).
Wengine
ni Mohammed Musa Mohammed, Dar (maisha), Omalla Donald Nyowino, Dar
(15), Yahya Ally Seif, Kinondoni, Dar (maisha), Chande Mohammed Chande,
Kinondoni, Dar (maisha), John James Amandus, Kinondoni, Dar (kunyongwa),
Bantulaki Isihaka Ally, Tanga (kunyongwa), Zungiza Mohamed Ally, Dar
(kunyongwa), Rashid Bakari Mzonge, Kimara Suka, Dar (maisha), Mende
Katija Mikidadi, Ilala, Dar (maisha), Shame Shame Udai, Dar (maisha) na
Mlenzi Mangala Hamisi, Dar (maisha).
Baadhi ya watuhumuiwa wa kike waliokamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’.
Farida
Sarboko Makarani, Zanzibar (kunyongwa), Adam Hariri Mohammed, Magomeni,
Dar (18), Said Mfaume Said, hajatajwa wa wapi (kunyongwa), Mohammed
Bakari Mkemi, haijatajwa wa wapi (kunyongwa), Mariam Ramadhan Mahimbo,
hajatajwa wa wapi (kunyongwa), Julieth Jonathan Jaspher, haikusemwa
anakotoka (kunyongwa), Halifa Matumla Ally, haijaandikwa atokako
(kunyongwa), Rajabu Salum Mwanyenza, haijaandikwa atokako (kunyongwa),
Ismail Mohammed Rajabu Mapusa, Magomeni Dar (maisha) na Hamisi Kombo
Ally (kunyongwa).
Waliopo
mbaroni ambao pia hawajaandikwa watokako ni: Sephu Abdulrahman, Alfredy
Thomas Singini, Lawrence Mbogoni Oni, Mohammed Ibrahimu Kilima, Wilfred
Casmir Mushi, Shakira Ahmed Mumba, Jackline Benedict, Rajabu Rashidi
Mshare, John Peter Martin, Abdallah Mwalimu Mbaruk, Rashid Mzee Mrisho,
Juma Ismail Nayopa, Tsakiris Costa Achelis na Faith Michael Kabambe.
Wengine
waliohukumiwa ni Bakari Badi Omari Mneko, Sinza, Dar (17), Masomi Thomas
Joseph, Dar (17), Abdallah Iddi Ally, Tabata, Dar (17), Kondo Ally
Mohammed (20), Mohammed Abubakar Nazzir (24), Abdallah Anwar Abasi (24),
Makuti Al- Jaribu Hassan, Kilwa, Lindi (25), Abdallah Iddi Athuman
(24), Mnyamani Hamad Ally, Tanga (22), Mtalu Rajabu Ally Rajabu,
Kariakoo, Dar (17) na Shughuli Kibaya Bakari, Tanga (8).
Wengine ni
Mfaume Omar Ng’anzi Msuya, Kariakoo, Dar (21), Steven Robert Onay (9),
Omar Juma Mang’enge (8), Steven Simon Kanul, Dar (8), Iddi Haji Fumo,
Unguja (9) na Seleman Hamisi, Unguja (8).
Pia wapo
Athuman Hassan Nash, Magomeni, Dar (8), Seleman Hussein Msimbe (8),
Abdallah Farid Twalib, Dar (17), Salim Ally Amani, haikutajwa anakotoka
(22), Calist Wilson Mosha, Arusha (18) na Saleh Abdul Omar, Kigogo, Dar
(21).
Wengine ni
Bugingo Sweetbert Rwezaura, Kijitonyama, Dar (21), Mohammed Omari Ally,
Zanzibar (19), Sayula Rashid Paul, hajatajwa atokako (16), Koshuma
Geofrey Gabriel, Kijitonyama, Dar (30) na Salim Mrisho Hussein, Tanga
(21).
Orodha
inaendelea kama ifuatavyo: Riziki Riziki Hamduni, Kinondoni, Dar (19),
Bashir Rajabu Kafune, Magomeni, Dar (19), Kharim Mohammed Omar, Ilala,
Dar (19), Abubakar Abdul Ligalwike, Kinondoni, Dar (8).
Wengine
waliofungwa na miaka yao katika mabano ni Pendo Ernest Kessy, Ilala, Dar
(9), Anna Kiula, Kijitonyama, Dar (9), Nuru Shebe Maftah, Mwananyamala,
Dar (9), Fatma Rashid, Dar (9) na Naima Abdulhafidh Rashid,
Mwananyamala, Dar (9).
Pia wapo
Mariam Madaresa, Arusha na Dar (9), Mohammed Omar Ally, Wete, Zanzibar
(19), Faidhi Mohammed Abdallah, Kijitonyama, Dar (14), Mohammed Ijumaa
Rashid, Mbezi Beach, Dar (10), Omari Musa Abdallah, Tanga (10), Zahra
Ayubu Mwila, Korogwe na Kibaha (25) na Shamsa Gulum Shambe, Magomeni
Mwembechai, Dar (16).
Wengine
waliopo mbaroni ni Jeniffer Kessy, Mwananyamala, Dar, Shadia Issa, Mbezi
Beach, Dar, Rosemary Asakwe Kionaumela, Mapipa, Dar na Samir Sandra
Khalid.
Orodha ya
waliohukumiwa inaendelea: Tatiana Bakari Chambo, Temeke, Dar (11),
Ramadhan Maneno Mtumwa, Kijitonyama, Dar (14), Yusuf Herold John,
Magomeni (18), Hassan Hiza Sebudu, Tanga (22), Halfa Abdallah Ng’anga,
Ilala, Dar (19) na Nelson Anthony Dhinner, Kigogo, Dar (14).
Wengine
waliohukumiwa ni Awadh Salehe Awadh, Kinondoni, Dar (24), Hasim Paul
Syula, Mapipa, Dar (16), Fussy Abdu Mussa, haijatajwa anakotokea (17),
Mtwanzi Carlos Adam, haijatwaja anakotoka (17) na Yusuf Abbas Kilima,
Dar (5).
Wafuatao
wametiwa mbaroni; Salum Mhibu Mkwawira, Tunduma, Mbeya, Juma Musa Juma
wa Zanzibar, Nassor Mohammed Ayub wa Tanga, Jimmy Joseph Kivelege wa
Dar, Kilugage Joram Masembo wa Kahama, Shinyanga, Manengelo Abdurahman
wa Dar na Hamud Ali Mohammed (mji haukutajwa).
Wengine
ni Eric Charles Mkude wa Tanga, Makame Khatibu Ali wa Kiembesamaki,
Zanzibar, Abdulwahid Hamisi Mashauzi wa Singida, Said Ally Makame wa
Zanzibar, Peter George Gyellah wa Tegeta, Dar, Said Abdallah Mzee wa Dar
na Yusuf Chombo Khalid wa Dar.
Wafuatao
wamehukumiwa na miaka yao kwenye mabano; Salehe Mohammed Aboubakar,
Tanga (20), Abdul Omar Salehe, Dar (14), Omari Hussein Ally, Tanga (14),
Kaliro Samson Majani Busagaga, Tarime, Mara (9), Mohammed Salum
Mbaraka, Moshi, Kilimanjaro (9), Zuberi Musa Zuberi, Zanzibar na Dar
(9), Adam Athumani Udindo (alikataa kutaja anakotoka, 14).
Wafuatao
pia wapo mahabusu katika nchui mbalimbali, kesi zinaendelea; Frank
Thomas Frank (Moshi), Nasra Hassani Masogoa (Dar), Nice Saidi Mbwana
(Tanga na Dar), Josephine Raymond Malibanga (hakutaja atokako), Sara
Yuga Mtinda (Singida), Amina Khamisi Bwanga (hakutaja atokako), Flora
Frederick Siyame (Dar) na Zawadi Aloyce Henjewele (Songea).
Wengine
ni Upendo Eric Shayo wa Moshi, Mariam Haruna Feruzi (Dar), Yusta Riwa
(Moshi Kilimanjaro), Watende Sudi Kiwamba (Tabora), Elizabeth Yoram
Kwambaza (Korogwe, Tanga), Mariam Shabibi (Dar) na Zahoro Mohammed
Nassoro (Tanga).
Wengine
waliokamatwa na wako mahabusu ni Rashid Nassoro Maumba (Mpanda), Mohamed
Said Mrisho (Tanga), Suleiman Said Mpetula (Dar), Shaban Salum Mnyimani
(Dar), Abood Yasser Ali (Tanga), Juma Shabani Ngoma (Tanga), Juma Akida
Yusufu (Tanga) na Miraji Yusufu Semahimbo (Tanga).
Wengine
ni James Christopher Lukio (Tanga na Dar), Rabin Issa Mbaba (Mafia),
Abdallah Rajabu Dole (Dar), James Sakaya Henry (Dar), Bakari Kheri
Nassoro (Dar), Faraji Juma Lota (Dar), Gervas Anselm Muganda Matura
(Musoma), Rawe Waikama Magarya (Tarime) na Abdulraheem Sadiki Mohamed
(Dar).
Wafuatao
wamehukumiwa na miaka yao kwenye mabano ila miji waliyotoka Bongo
haikutajwa; Rashid Habib Muhsin (9), Abdallah Saidi (16), Hiridi Mamdadi
Issa (12), Juma Mohammed Mapande (16), Mwatadi Kulwa Hamisi (16),
Hamisi Abdallah Mohammed (9), Erick John Ibrahim (16) na Abdallah Farid
Salum (9).
Thuweni Hamadi Suleiman, Kileo Walter Exaudy na Jacqueline Clifford Fitzpatricque (Jack Patrick) hawa bado hawajahukumiwa.
IDADI YA NCHI
Katika
orodha hiyo, China wapo Wabongo 65, Brazil 108, Kenya 34, Hong Kong 118,
Pakistan 16, Falme za Kiarabu 12, Japan 7, Morihsaz 6, Uingereza 5,
Malawi 5, Uganda 4, Oman 3, Uswisi 2, Italia 2, Marekani 2, Argentina 2,
Uturuki 1, Ureno 1, Botswana 5, Chile 1, Afrika Kusini 3 na Msumbiji
1.
paparazi aliongea na Kaimu Kamishna wa Tume ya Kuratibu Udhibiti wa
Dawa za Kulevya, Aida Tesha (pichani) kuhusu kukamatwa kwa watu hao
ambapo alikiri na kusema kuwa serikali inaendelea kufuatilia takwimu za
Watanzania wengine ambao wamekamatwa nje ya nchi
No comments:
Post a Comment