10 July 2014

KIJANA AGONGWA NA PIKIPIKI

 Kijana aliyetambuliwa kwa jina Moja la Ally jana majira ya saa 2 Usiku aligongwa na pikipiki alipokuwa akivuka barabara kuu ya Morogoro-lringa eneo la Mriti.Ally akiwa katikati ya barabara ya Morogro-lringa baada ya Kutokea ajali kugongwa na pikipiki 
 Askari wa kikosi cha Usalama barabara wakiwasili eneo la tukio Tayari kutoa msaada. 
Habari zilizopatikana eneo la tukio zinadai  baada ya dereva huyo wa pikipiki kumgonga  alikimbia na kumuacha majeruhi huyo akigaaga kwenye barabara hiyo ambapo baadhi ya wananchi walifika eneo la tukio na kumsogeza pembeni asiendele kugongwa na magari menginePicha zaidi>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname