18 July 2014

Kesi ya Mbasha imesomwa tena leo na hiki ndicho kilichoamuliwa na Mahakama

7mbshMume wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Frola Mbasha,Mr.Emanuel Mbasha leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka mawili yanayo mkabili ya ubakaji.Katika kesi hiyo inayoendeshwa na Hakimu Wilbert Luago,amelazimika kuhairisha kesi hiyo kwa muda wa nusu saa kwa hoja aliyoitoa Mbasha kwamba ana wakili wa kumtetea lakini alishindwa kufika kutokana na matatizo ya usafiri.
Kauli hiyo ya Mbasha ilimfanya Hakimu Luago kuhoji kama kweli alikuwa na nia ya kuwa na  wakili au ana nia ya kuweka wakili kwani ilionekana tangu kesi hiyo ianze Mbasha hakuwai kusimamiwa na wakili.Soma zaidi>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname