18 July 2014

HIVI NDIVYO NDEGE YA MALAYSIA ILIYO KUWA NA ABIRIA 285 ILIVYO SHAMBULIWA NA KOMBORA


 Vifaaa vinavyodaiwa kuitungua ndege iyo

 Shirika la ndege ya Malaysia limethibitisha kupoteza mawasiliano na ndege yake namba MH17 iliyokuwa ikitokea Amsterdam, Uholanzi kuelekea Kuala Lumpur. Malaysia Airlines imethibitisha taarifa hizo kupitia akaunti yake rasmi ya twitter. Ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 295. Taarifa kutoka Moscow zinasema ndege hiyo imepatikana ikiwa imeanguka na inawaka moto mashariki mwa Ukraine

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname