BASI UNAAMBIWA HILI NDILO JENGO REFU KULIKO YOTE AFRICA MASHARIKI.
Jengo hili
linalojulikana kwa jina la Hazina Trade Center likiwa kwenye matengenezo
jijini Nairobi.Inawezekana likawa jengo refukuliko yote Africa
mashariki cheki baadhi ya picha hapa
Hapa likilinganishwa kati ya Hazina Trade na jengo la Times Towers pamoja na KICC
No comments:
Post a Comment