09 July 2014

AUAWA KWA KUVUNJWA SHINGO NA MPWA WAKE

Marehemu mzee Halfan Mohammed Mtonga enzi za uhai wake
Stori ya kifo cha mzee Halfan Mohammed Mtonga (82) mkazi wa Kijiji cha Pera, Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani hapa kinachodaiwa kutokana na kuvunjwa shingo, inasikitisha.Tukio hilo lilitokea Julai 3, mwaka huu nyumbani kwake baada ya kuzidiwa, hali yake ilipobadilika siku kadhaa tangu aliporuhusiwa hospitalini.
Marehemu mzee Halfan Mohammed Mtonga (82) mkazi wa Kijiji cha Pela, Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani akisindikizwa katika safari yake ya mwisho.
Akisimulia tukio zima kwa majonzi, mjane wa marehemu Aisha Amir (75) alisema, ameumia sana kumpoteza mume wake kipenzi ambaye anadai kukatishwa uhai na mpwa wake aliyemtaja kwa jina moja la Sabata aliyemshambulia na kumvunja shingo.Endelea hapa>>>>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname