09 July 2014

Alichokisema Ray C kuhusu kauli aliyopewa na TID.

Rayc
Siku za karibuni, Nyota wa muziki nchini Tanzania Ray C pamoja na TID waliingia kwenye headlines kutokana na kauli za kupishana katika mtandao wa Instagram.TID alionekana kuja juu kutokana na comment iliyotolewa na Ray C instagram kwenye moja ya post zake.Baada ya kukaa kimya akimuuguza mama yake hatimaye mwanadada Ray C amejibu kile kilichosemwa na TID.Isome hapa>>>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname