03 June 2014

WAGOMBANIAO NDIO WAPATANAO,BIFU LA WEMA NA KAJALA LAMALIZIKA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHqgLkQtX3ObH71dM23OU9PxKFYBe9aMTdWXqODQ_UBBwJ5I5MncTm5Jx4L7EoS9-jAKCKpS3XKPFME-DQw8wp8yFHwSoXD_FaTyjh9vOldR0ZrL7fiugagnR8mVEdjIQzF6NR1dohxrGJ/s1600/kay_ake.PNGUnaweza kuona kama bado drama zinaendelea lakin ni kama movie imefika mwisho, kwani wale wakali wawili waliotengeneza headline hapa mjini kwa social media wamepatana, Kajala Masanja na Wema sepetu.Hii imetokea jana kwenye msiba wa director na aliyekuwa mzazi mwenzie Monalisa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname