1. Mwili wa marehemu George Tyson utapelekwa nyumbani kwake (Mbezi Makonde jijini Dar es Salaam) kesho Jumanne Juni 3, 2014 jioni kuanzia saa kumi na mbili jioni kwa ajili ya kuaga.
2. Mwili utalala utalala nyumbani kwake Mbezi na kesho yake Jumatano Juni 4, 2014 kupelekwa Viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuagwa kuanzia saa nne asubuhi.Soma zaidi>>>>>
No comments:
Post a Comment