TAZAMA PRADO LILIVYOKOSEA NJIA NA KUINGIA KATIKA UKUTA WA KIOO CHA BENKI NA KUZUA TAFRANI
TUKIO
HILI LIMETOKEA KATIKA bENK YA CRDB MORO BAADA YA GARI AINA YA PRADO
KUACHA NJIA BAADA YA BREKI KUSHIDWA KUFANYA KAZI NA KUVAMIA UKUTA WA
KIOO WA BENKI HIYO NA KUINGIA HADI NDANI: CDT: Team balaaaaa
No comments:
Post a Comment