Mtangazaji wa TV na ex wa Diamond
Platnumz, Penny Mungilwa aka VJ Penny anasumbuliwa na ugonjwa wa Asthma
uliomkaba kwa siku tatu mfululizo.
VJ Penny akiwa na chombo cha kumsaidia kupumua
Penny ameshare picha akiwa na kifaa
maalum cha kumsaidia kupumua na kuandika: Asthma plss leave me
alone..emojiemoji three days in a row.”
Get well soon Penny.
No comments:
Post a Comment