Breaking
news habari zilizotufkia sasa hivi kwenye mtandao wa makubwa haya blog
ni yakuwa soko la karume ambapo wanauza mitumba linateketea na moto mda
huu inasemekana kuwa watu wa zima moto
wamefika
pale lakini wakashindwa kuuzima moto huo kutokana na ukubwa ulokuwepo,
mpaka mda huu moto huo unaendelea na unakaribia kufika katika kiwanda
cha bia breweries maeneo ya karume, stay tune picha zaidi zinakuja soon
No comments:
Post a Comment