09 June 2014

MSAADA WA MATIBABU KWA MTOTO MAIMUNA YAHAYA (11)

 
 Pichani ni Mtoto Maimuna Yahaya
 Mtoto Maimuna Yahaya akiwa na Mama yake Mzazi  Tunu Juma
Msaada wa Matibabu kwa mtoto Maimuna Yahaya Mtoto Maimuna Yahaya (11) anayesoma shule ya Msingi ya watoto wenye mahitaji maalum (wenye ulemavu) ya Irente Rainbow (Lushoto- Tanga) Darasa la pili, anasumbuliwa na tatizo la mifupa na ukubwa wa kichwa tangu kuzaliwa kwake, tatizo lililompelekea kuwa na ulemavu wa viungo na mtindio wa Ubongo.
Mama wa mtoto huyo, Bi. Tunu Juma Maziku amesema amekuwa akimpeleka mwanae huyo Maimuna katika hospitali ya KCMC kwa muda wa miaka 11. Hali ya mtoto inaendelea kuimarika, anaweza kukaa na anaweza
kuongea.Soma zaidi >>>>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname