nao.“Kuzaliwa katika familia ya kimaskini ni bahati mbaya, lakini kuchagua mume maskini ni uzembe na hustahili kusamehewa,” alisema. Aidha aliongeza kuwa kutembea kwake amejifunza mambo mengi na kuona mastaa wa Ulaya huwa wanaolewa kwa maslahi. Mwigizaji huyo aliyejizolea umaarufu katika Filamu ya Ndase, alisema moja ya matatizo ya ndoa za Kitanzania au Kiafrika ni kukosea katika uchaguzi na kuingia katika uhusiano.“Wengi huishia kupotezeana muda kisha kutengana kutokana na kuwa uzembe wa kukosea katika uchaguzi wa mume au mke,” alisema
15 June 2014
HUYU NDO MSANII WA BONGO ANAYE TAKA KUOLEWA NA TAJIRI HATAKI MASKINI ALIYE CHOKA AKAMSHINDISHA NJAA
nao.“Kuzaliwa katika familia ya kimaskini ni bahati mbaya, lakini kuchagua mume maskini ni uzembe na hustahili kusamehewa,” alisema. Aidha aliongeza kuwa kutembea kwake amejifunza mambo mengi na kuona mastaa wa Ulaya huwa wanaolewa kwa maslahi. Mwigizaji huyo aliyejizolea umaarufu katika Filamu ya Ndase, alisema moja ya matatizo ya ndoa za Kitanzania au Kiafrika ni kukosea katika uchaguzi na kuingia katika uhusiano.“Wengi huishia kupotezeana muda kisha kutengana kutokana na kuwa uzembe wa kukosea katika uchaguzi wa mume au mke,” alisema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment