Sasa nadhani watu wataamini kwamba tupo mwishoni mwa dunia, asiyeamini
yale maandiko sasa aamini hapa. Kijana na mwanamziki maarufu Lee 2 Sparta" amejitoa fahamu kuweka chapa ya 666 ambayo ilitabiliwa
kwenye maandiko ya biblia kwamba itatumika mwisho wa siku na sasa
tunaweza kusema yameanza kutimia.Kijana huyu ambaye ameonekana na
kuchokwa na maisha
amejitia chapa hiyo na kusema hamwogopi mtu yeyote na yupo tayari kumtumikia shetani. Masikini huu ugumu wa maisha ni hatari, kijana kutoa kauli kama hizi ni laana hii.
amejitia chapa hiyo na kusema hamwogopi mtu yeyote na yupo tayari kumtumikia shetani. Masikini huu ugumu wa maisha ni hatari, kijana kutoa kauli kama hizi ni laana hii.
No comments:
Post a Comment