02 June 2014
HIKI NDO KIATU CHA MKE WA REGINALD MENGI K-LYINN ALICHO NUNUA ZAIDI YA TSH MILIONI TATU NA NUSU
Leo katika pitapita kwenye kurasa za WAREMBO huko INSTAGRAM...nimekutana na hichi kiatu cha mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-LYINN..kiudaku
udaku nikaona ngoja ni GUGO bei ya hiki kiatu....Duh kucheki bei yake nikachoka mwenyewe...ni zaidi ya
gari aina ya VITZ (USED lakini..hizi ndio wabongo wengi tunazimudu)....Hehehe sio ishu yote maisha...ni zaidi ya shilingi Milioni Tatu na Nusu (ONLINE) na hapo bado haujaletewa...Kumbuka hiki nikiatu tu, bado gauni, pochi...nywele....nk...Dah huyu si anatembe na M-KUMI kabisa.... Jionee mwenyewe hapa
Kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM alikuwa ameweka picha hii:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ni lazima tuzikubali tofauti miongoni mwa watu
ReplyDeleteALL PEOPLE ARE EQUAL BUT OTHERS ARE MORE EQUAL
mwache avae lakini akumbuke kuna mwisho aamke mapema wenzie waliondoka na makampuni yeye ataondoka na viatu yeye si wa kwanza.
ReplyDelete