27 June 2014

ANGALIA PICHA ZA VIDEO MPYA YA DIAMOND

Kila jua linapochomoza, hitmaker wa ‘My Number One’ huwa na jambo la kuwafanya mashabiki wamzungumzie na ndio maana kila siku Diamond amekuwa kwenye headlines mbalimbali. Akiwa na video aliyomshirikisha Iyanya kibindoni, staa huyo amekuwa akipost picha zinazomuonesha akiwa msitini na msichana wa kizungu pamoja na farasi huku akiwa amevaa kitamaduni kama askari wa enzi za kabla ya ukoloni.
10513769_1502779259957797_1663715630_n
10413013_1506214419609205_3260841_n924386_158463804322568_1115509688_nPia kupitia Instagram, staa huyo amepost picha akiwa airport nchi za nje akielekea Los Angeles, Marekani kwenye tuzo za BET, zitakazotolewa June 29.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname