Ooh but she is still cute jamany au nyie mnamuonaje? Kwa mimi its okay
inavyoonekana hajakoboi sana huwa sio mtu wa makeup kiihivyo, maana
usiambiwe, uzuri wa mtu inabidi umsubiri pindi anapotoka kuamka
usingizini haya so gud for @agnessmasogange ur so cute mamitho I
appreciate that.
No comments:
Post a Comment