08 May 2014

UNYAMA!!..AZALIA KWENYE NDOO, APIGWA PINGU!

Hadija Mohammed, anayetuhumia kukitupa kichanga baada ya kuzaliwa.

MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Hadija Mohammed, mkazi wa Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam amekumbana na mkono wa sheria baada ya kufanya kitendo cha kinyama kufuatia kujifungulia kwenye ndoo kisha kichanga kukitupa chooni.

Kwa mujibu wa chanzo, mwanamke huyo alikuwa na ujauzito uliotimiza miezi tisa na kila mtu alikuwa akiuona, lakini ghafla siku ya tukio baadhi ya ndugu waligundua kuwa hakuwa na ujauzito tena!
NDUGU WAMBANA
Chanzo hicho kiliendelea kutiririka kuwa baadhi ya ndugu na majirani walipomuona bila ujauzito walimbana kwa kumuuliza iliko mimba hiyo.Soma zaidi>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname