07 May 2014

Mwanajeshi apigwa na Askari wa Usalama! ..cheki picha hapa



 

Askari wa Usalama barabarani eneo la Mataa ya Makumbusho wakimpa kisago kikali raia ambaye amejitambulisha kama Mwanajeshi mchana wa leo!


Je, unadhani hivi ndivyo askari wetu wanatakiwa kutekeleza majukumu yao?

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname