08 May 2014

PICHA ZINATISHA: MHUDUMU WA KANISA HUKO MWANZA ALIVYOLIPUKIWA NA BOMU...

Damu zimetanda mbele ya lango la kuingilia Rest House ya Kanisa la KKKT Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria, mara baada ya tukio la kulipuka kwa bomu katika Ushirika wa Kanisa Kuu Imani jijini Mwanza.
Kwa ukaribu zaidi ni damu ya muhudumu wa rest house Bi. Bernadeta Alfred aliyelipukiwa na bomu lililowekwa kwenye kifurushi alichokifungua ili kubaini kilichokuwa ndani.

Hali tete.

Kishindo kikubwa kilitokea na kutoa sauti kubwa na moshi huku kikisambaza misumari mingi midogomidogo na kujeruhi vibaya mhudumu huyo hasa sehemu za miguuni na usoni.PICHA NA GSENGO BLOG

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname