07 May 2014

MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDUMA AKABILIWA NA SHITAKA LA KUSHAMBULIA

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Tunduma katika Wilaya ya Momba,Mkoa Mbeya, Herode Jivava, (wa kwanza kutoka kushoto) akiwa na mwanasheria wake Omary Ndamungu wakiwa nje ya mahakama ya Wilaya ya Mbozi mara baada ya kesi yake kuarishwa mpaka Mei 20 mwaka huu,kutokana mashahidi kushindwa kufika mahakamani.
Mwenyekiti huyo ameshitakiwa na kwa kosa la kumfanyia shambulio la mwili mwana chama cha mapinduzi (CCM) Sarafina Ngusa bofya >>>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname