MSANII
wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’ hivi karibuni aliwashangaza
watu baada ya kuvukwa na gauni alilokuwa amevaa na kulazimika kutembea
huku sehemu kubwa ya kifua chake ikiwa wazi.
Tukio
hilo lilitokea hivi karibuni katika kiwanja kimoja kichopo mjini Arusha
ambapo mmoja wa watu aliyemtia machoni Lulu aliyeomba hifadhi ya jina
lake alisema:
“Yaani
nilimuona Arusha akiwa amevaa gauni lililoacha wazi matiti yake,
kaficha chuchu tu na inavyoonekana gauni lilimvuka, akaonekana
akihangaika kulirudishia bila mafanikio.”
No comments:
Post a Comment