Hili ndio gari alilowasili nalo.
Ni
jana tu May 29 2014 Cristiano Ronaldo ametajwa kushika namba moja
kwenye list ya mastaa kumi wa soka ambao wanavutia kibiashara na kufanya
kazi na makampuni makubwa ya kibiashara duniani.
Hii
post inahusu kuwasili kwa Ronaldo kwenye hoteli timu yake ya taifa ya
Portugal ilikoweka makazi ya muda kujiandaa na kombe la dunia
litakaloanza siku chache zijazo nchini Brazil.
Kulikua
na mashabiki wengi waliokua wakimsubiria wakiwemo kina mama, baba na
watoto ambao wengine walijaribu hata kumgusa, wengine kumsemesha na
wengine kumpiga picha.
Yaani huyu mtoto hakuamini kamshika Ronaldo…. hahahha hii picha ya huyu mtoto nimeipenda.
No comments:
Post a Comment