08 May 2014

BASI DOGO LAPATA AJALI MOMBO NA KUJERUHI KADHAA

Ajali imetokea mombo leo hii. Coastal iliyoanguka ilikuwa na watu 25, Mungu kasaidia hakuna aliyekufa. Hongereni sana madaktari wa Magunga kwa kazi nzuri! - Mkuu wa wilaya ya Lushoto, Mrisho Gambo. 



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname