JESHIla
polisi mkoani hapa linamshikilia mwanamke aliyejulikana kwa jina la
Pima Mabubu kwa tuhuma za kumchoma kisu mpaka kumjeruhi vibaya mwanamke
mwenzake, Amina Hussein akidai ana uhusiano wa kimapenzi na mumewe, Adam
Ndekeja, Risasi Jumamosi lina mkasa wote.
Tukio
hilo lililowaacha watu vinywa wazi, lilijiri Aprili 22, mwaka huu
shambani katika Kijiji cha Kigwa, Kata ya Ukondamoyo wilayani Uyui, Mkoa
wa Tabora.
KISU KILIVYOFANYA KAZI
Habari
kutoka kwa baadhi ya mashuhuda zinasema kuwa, Amina alichomwa kisu mara
mbili, kwenye paja mguu wa kushoto kisha kwenye mgongo ambapo kilizama
na kutoka mpini tu!
KISA KINASIMULIWA
Kwa
mujibu wa taarifa za awali, siku ya tukio, Pima alitoka nyumbani kwake
na kumfuatilia mumewe huyo kwenye shamba la tumbaku la kaka wa Amina
(jina halikupatikana) ambako alisikia kuwa mwanamke huyo yupo na mumewe.
“Pima
alisikia Amina ana uhusiano na mumewe. Siku hiyo akasikia wapo
shambani. Akatoka nyumbani na kufuatilia akijua atawanasa laivu,”
kilisema chanzo hicho.SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment