JACKLINE WOLPER ASHAMBULIWA NA MASHABIKI MTANDAONI BAADA YA KUKOSEA KUANDIKA KINGEREZA
Jackline
Wolper siku ya jana katika siku ya muungano aliandika kizungu kutakia
muungano wa furaha lakini badala yake alipata doa la shombo za kejeli
kutoka kwa mashabiki wake baada ya kuchapia kizungu,
ALIANDIKA HIVI
UNION DAY HAPPY badala ya HAPPY UNION DAY
No comments:
Post a Comment