01 March 2014

ANGALIA PICHA SHEKHE NA MTOTO WAMWAGIWA TINDIKALI ARUSHA

SHEHE wa msikiti mkuu wa bondeni, Arusha Mustapha Mohamed Kiago (49) akiwa yupo nje ya wodi za watoto hospital ya mkoa maunt meru akisubiri mtoto wake apate kitanda na yeye aende wodin kupata matibabu baada ya kumwagiwa tindikali yeye na mtoto wake picha ya chini na mtu asiyejulikana ambaye hawakumtambua amesema shekhe wakati akiwa na mtoto wake gafla na mtu amejitokeza na kumwaga tindikali likampata yeye na mtotot wake lakini mtoto wake imempata zaidi shehe huyo amedai hatambui kisana mkasa ya tukio hilo akiwa na mtoto wake.ANGALIA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname