25 February 2014

YALIYOJIRI NYUMBANI KWA LADY JAYDEE KATIKA MSIBA WA DADA YAKE AITWAYE LUCY

HII PICHA IMEWEKWA NA PROF J MTANDAONI NA KUANDIKA MANENO HAYA KWA CHINI

Nyumbani kwa kina @jidejaydee ambaye amefiwa na dada yake aitwae Lucy...Mwili wa marehemu utasafirishwa kesho kwenda mkoani MARA kwa mazishi. ..Bwana ametoa na bwana ametwaa, Jina lake LIHIMIDIWE, Amen!! @ladyjaydeeismyidol

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname