11 February 2014

WEZI NOMA KWELI...HADI ULAYA NJAA TU..CHEKI WALIVYO LIFANYA GARI LA ROBERT LEWANDOSKI


lewacar
Usiku wa kuamkia Jumatatu wezi wanaodhaniwa kuwa mashabiki wa klabu ya Borrusia Dortmund wamemfanyia kitu mbaya mshambuliaji klabu hiyo Robert Lewandoski baada ya kuifanya gari la mshambuliaji huyo kuwa ‘screpa’ kwa kuiba matairi yote ya gari hiyo.
1779178_10152012642147946_1881541384_n

Gari hilo aina ya Porsche Cayenne lilikuwa limepaki nje ya nyumba ya mshambuliaji huyo huko Ujerumani, wezi waliiba matairi yote na kuliacha gari hilo juu ya mawe. Kwa mujibu wa gazeti la Bild, sasa itamgharimu Lewandowski kiasi cha €2,500 kuweza kuifanya gari hiyo itembee tena.
CREDIT : MILLARD AYO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname