Mtoto Fikili Hausi Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Shule ya Msingi ya Majengo Mansipaa ya Songea akiwa amelazwa Hospitali ya Mkoa baada ya Kunguzwa Moto na Mama yake.
Jeshi la Police lina endelea kumtafuta mama yake Fikili Hausi
Msomaji hebu angalia Jamii ya watanzania kila siku inafanya makongamano ya kuzuia vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na mama, je kitendo kama hiki http://www.matukiotz.com/
No comments:
Post a Comment