MSIBA: MCHEZA MIELEKA MAARUFU KAMA BIG DADDY V AFARIKI DUNIA JANA:
Big Daddy V enzi za uhai wake. Big Daddy V akiwa kazini enzi za uhai wake. Mwanamieleka wa WWE, Nelson Frazier maarufu kama Mabel, Viscera na Big Daddy V amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo jana Jumanne. Big Daddy V amefariki akiwa na umri wa miaka 43.
No comments:
Post a Comment