BAADA ya Simba kufungwa mabao 2-0
dhidi ya Mbeya City katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara
iliyopigwa uwanja wa Sokoine mwishoni mwa juma lililopita, kipa kijana
wa Msimbazi, Manyika Peter Jr alilaumiwa na mashambiki kwa kudaka chini
ya kiwango.
Mashabiki hawakuridhishwa na udakaji wake na kudai ameshuka kiwango tangu awe katika mahusiano ya kimapenzi na Mrembo mmoja anayeitwa Naima.
Baada ya lawama kijana Manyika Jr alikuja juu na kutoa majibu yanayoonekana pichani juu kwa mashabiki wa Simba wamamshutumu kushuka kiwango kwasababu ya mapenzi.
Mashabiki hawakuridhishwa na udakaji wake na kudai ameshuka kiwango tangu awe katika mahusiano ya kimapenzi na Mrembo mmoja anayeitwa Naima.
Baada ya lawama kijana Manyika Jr alikuja juu na kutoa majibu yanayoonekana pichani juu kwa mashabiki wa Simba wamamshutumu kushuka kiwango kwasababu ya mapenzi.

Baada majibu hayo ya Manyika Jr, demu wake naye akaja na maneno haya
Baada ya kuandikwa sana na
kukosolewa kwa majibu yake, Manyika Jr amejitokeza na kuwaomba radhi
wanasimba wake kupitia akaunti yake ya Instagram.
Huu ndio Manyika Jr ujumbe alioandika jioni ya leo
“Wanadamu
wengi wanafanya makosa bila kutambua kwa kuwa na upeo mdogo wa
kufikiri.Wanachama na viongozi nawaomba radhi kwa kitendo nilichokifanya
kijana wenu.mnisamehe sana naahidi kutojitokeza tenah jambo
hili.nawapenda sana na naipenda sana SIMBA SPORTS CLUB .Asanteni.”
There's nothing easy concerning the Timex Empera selection. The actual wrist watches of the selection tend to be solely cosmetic. hublot replica sale Classic precious metal or even impressive metallic along with gems which will eventually increase the twinkle inside your attention, these types of wrist watches clean up your own glam quotient. tag heuer replca sale In the event that you are searching for something which may increase the style of the clothing on the wedding ceremony, the actual Timex Empera selection is wonderful for a person. omega replica sale Regardless of the number of contemporary designs ton the marketplace, classics possess their very own appeal : appeal that's classic as well as ever-captivating. fake watches If you would like wrist watches that you could put on at any time as well as anyplace, the actual Timex classics selection is actually what you need to end up being taking a look at. rolex replica sale Actually when you wish in order to present a wristwatch, the Timex traditional is the most secure wager.
ReplyDelete