20 February 2014

Roben aonekana akimtemea mate Sagna wakati wa mchezo kati ya Arsenal dhidi ya Bayern Munich

Mchezo wa Ligi ya Mbaingwa barani Ulaya uliopigwa jana kati ya Arsenal ya England dhidi ya mabingwa watetezi, Bayern Munich ya Ujerumani katika dimba la Emirates jijini London, uligubikwa na kila aina ya vituko ambavyo kuna baadhi ya mashabiki wanadai kuwa ni sehemu ya mchezo na wengine wakidai siyo uungwana.Sahau kuhusu kadi nyekundu ya mlinda mlango wa Arsenal Wojciech Szczesny ambaye anadaiwa pia kuonesha alama zisizofaa ambazo huenda akaadhibiwa na UEFA.
SOMA ZAIDI
Pia sahau kuhusu Mesut Ozil na David Alaba kukosa penalti kwa kila timu, jambo kubwa lililoibuka sasa ni Robben kudaiwa kumtemea mate Sagna ambaye alikuwa amelala chini wakati wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname