SIKU chache baada mtoto Hamis Hashim Liguya (13) aliyekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu kuwasili nchini India, jopo la madaktari mjini Mombai, limesema mtoto huyo alicheleshwa kupewa matibabu kwani angewezekana kutibiwa mapema.
Mtoto huyo aliwasili Uwanja wa Kimataifa wa Coimbatore hivi karibuni na haraka madaktari wa Hospitali ya Ganga, India walimpokea na kuanza kumpima vipimo vya awali kabla ya kumfanyia upasuaji.ANGALIA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment