MSANII
wa filamu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu' ambaye anakabiliwa na kesi
ya kuuwa bila kukusudia msanii mwenzake 'Steven Kanumba atasomewa
mashtaka yake Februari 17, mwaka huu ambapo atasomewa mashataka hayo
mbele ya jaji Rose Teemba wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ambapo
siku hiyo anatakiwa kujibu kama kweli au si kwelli.
Kwa
mujibu wa ratiba iliyotolewa na Mahakama hiyo Lulu baada ya kusomewa
mashataka kesi hiyo itapangwa tarehe nyingine kwa ajili ya mshatakiwa
huyo kusomewa maelezo ya awali kabla ya kuanza kusikilizwa rasmi.
No comments:
Post a Comment