08 February 2014

LOWASSA AKANA KUMILIKI KURASA KWENYE MITANDAO YA FACEBOOK TWEETER NA INSTAGRAM

Kumekuwa na kurasa(accounts) mbalimbali zenye jina la Mh Edward Lowassa katika mitandao ya kijamii Kama vile facebook,Twitter, Instagram nk.Zinaonekana mmiliki wake ni Mh Edward Lowassa.Ukweli ni kwamba  hizo zote hazimilikiwi na Mh Lowassa.Kwa maana hiyo chochote kinachoandikwa au kuchapishwa kwenye kurasa hizo hazihusiani kwa namna yoyote na Mh Lowassa.Hata hivyo Mh Lowassa anawashukuru wote wenye kumiliki account hizo bila ya ruhusa yake, kwani anaamini wamesukumwa na mapenzi yao kwake.

Imetolewa na ofisi ya  Mh Edward ngoyai Lowassa (MB)

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname