KAMA HAUKUJUA BASI JUA KUWA
Kuna wakati hata kama mtu anayo PASSWORD yako ya FB au akaunti
yako ya barua pepe bado hawezi kuingia kwa akaunti yako.
Unaweza dhibiti watu wengine wasifungue akaunti yako ya email au
Facebook kwa kufuata huduma ya ku sign in mara mbili.
1. Mara ya kwanza una sign in kama kawaida kwa kutumia ID na
PASSWORD yako, ambapo hivi ndio umekuwa ukifanya wakati wote.
Ila kwa huduma hii ya kusign mara mbili, ID na PASSWORD pekee
hazikuruhusu kuingia kwa akaunti yako.
2. Utakapomaliza ku sign in , utatakiwa kufuata hatua ya
kuweka CODE maalum ambayo utatumiwa kwa njia ya ujumbe mfupi kwa simu yako. Au
la pengine tayari ulipojiandikisha kwa huduma hiiya kusign mara mbili, basi
uliweza ku download CODES maalum ambazo ni wewe tuu ndio utaweza kuzitumia.
---Fuata maelekezo ya jinsi ya kutumia huduma hii ya kusign mara mbili kwa kubofya link hapo chini.
---Fuata maelekezo ya jinsi ya kutumia huduma hii ya kusign mara mbili kwa kubofya link hapo chini.
HUDUMA YA FACEBOOK KUSIGN IN MARA MBILI ...BOFYA HAPA
HUDUMA YA GMAIL KUSIGN IN MARA MBILI ........BOFYA HAPA
HUDUMA YA YAHOO KUSIGN IN MARA MBILI .......BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment