01 February 2014

ARUSHA KUMEKUCHA NO MILEGEZO WALA SKETI FUPI ..MKUTANO MKUU WA KIJIJI WILAYANI ARUMERU UMEAZIMIA



MKUTANO Mkuu wa Kijiji cha Olgilai wilayani Arumeru umeazimia kuwachapa viboko vijana wa kiume wanaovaa suruali chini ya makalio pamoja na wanawake wanaovaa sketi fupi na suruali
zinazobana. Azimio hilo pia limeelekezwa kwa wanafunzi wanaopata mimba au kuozeshwa na kuacha masomo bila sababu za msingi.
source-jamiiforums

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname